HABARI

 

Saturday, October 12, 2013

ZIARA YA CHADEMA TABORA

0 Comments










Tumefanya mkutano wetu wa mwisho kijijini Mabama. Mkutano mkubwa sana na kuingia wanachama wengi sana. Kilio kikubwa cha wananchi ni Maji na unyonyaji katika zao la Tumbaku. Kuna haja kubwa sana ya kusukuma hifadhi ya jamii kwa wakulima. Tunaweza kukoboa wakulima wengi sana kutoka kwenye unyonyaji.
Ufisadi kwenye ngazi ya kijiji unatisha.
Kama kawaida Mh Zitto Kabwe alicha swali,
Umewahi kusikia jengo la matofari ya saruji linajengwa kwa tope?
  Kesho 12th Oct  Nzega na keshokutwa 13th  Igunga

0 Comments:

Post a Comment